Posted by
KANGOZI OFFICIAL
on
- Get link
- X
- Other Apps
Askari wa TPA wakishirikiana na Jeshi la Polisi Tanzania wanamshikilia Samwel Nzagi Kilang'ani mwenye umri wa miaka 63 kwa tuhuma ya kutoboa Bomba la mafuta ya Dizeli la "SPM" mali ya TPA na kuunganishia bomba hadi nyumbani kwake kwenye mantaki makubwa ambayo ameyachimbia chini.
- Get link
- X
- Other Apps
Comments