Posted by
KANGOZI OFFICIAL
on
- Get link
- X
- Other Apps
Bila kuingilia uhuru wako:
1.Tunza siri zako
2.Usitumie lugha za kejeli
3.Chagua marafiki wazuri
5.Watembelee ndugu/marafiki wagonjwa hospitalini
6.Usitegemee maisha kuwa mepesi
7.Ukikaribishwa chakula, washukuru walokualika
8.Waambie wazazi wako unavyowapenda
9.Ipende nchi yako.
1.Tunza siri zako
2.Usitumie lugha za kejeli
3.Chagua marafiki wazuri
5.Watembelee ndugu/marafiki wagonjwa hospitalini
6.Usitegemee maisha kuwa mepesi
7.Ukikaribishwa chakula, washukuru walokualika
8.Waambie wazazi wako unavyowapenda
9.Ipende nchi yako.
- Get link
- X
- Other Apps
Comments