BARUA KWA UMMA KUTOKA BASATA

#PRESSRELEASE Ukweli juu ya kutokufanyika Fainali za Shindano la Miss Tanzania kwa mwaka 2017 na msisitizo kwa waandaaji wa matukio ya Sanaa kufuata kanuni na taratibu na zaidi kusimamia weledi ili kujenga taswira chanya itakayovutia wawekezaji katika matukio yao ya Sanaa.

Comments