BRAND NEW VIDEO- P- Nesta The Star - First in Love (Official Video) Ni ndani ya madugudugu style.

 Ni Wimbo Wenye Vionjo Vya Kiafrika uliyoimbwa na P- Nesta The Star na Kutengenezwa na Steve White Huku Video ikifanywa Na Abas Adam Wa Mac Media.



Icheki hapa mtu wangu wa nguvu ucheki mautundu ya madugudu style.






Comments